1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

18 Aprili 2021

Umoja wa Ulaya na Urusi zasifu maendeleo ya mkataba wa nyuklia//Libya yapongeza uamuzi wa UN kupeleka wachunguzi nchini humo//Idadi ya vifo vya Covid-19 duniani yazidi milioni tatu//Biden asema hali ya Navalny ni mbaya na isiyofaa//Ujerumani yatakiwa kuwapa hifadhi raia wa Afghanistan waliolisaidia jeshi

https://p.dw.com/p/3sBUs