1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S17 Oktoba 2019

Serikali ya Yemen inayoungwa mkono na Saudi Arabia na waasi wanaopigania kujitenga kwa eneo la Kusini wanatarajiwa kutangaza makubaliano ya kumaliza mvutano// Hujuma za Uturuki kaskazini mwa Syria zinawaathiri pia raia// Kenya- Vuguvugu la wafanyabiashara wanaopinga agizo la serikali la makasha ya mizigo yanayoingia bandarini Mombasa kubebwa na gari la moshi la kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.

https://p.dw.com/p/3RQPZ