1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 16.12.2018

Zainab Aziz
16 Desemba 2018

Qatar yataka sheria za muungano wa mataifa ya Ghuba GCC zifanyiwe marekebisho. Umoja wa mataifa wahimiza ufanyike uchunguzi huru juu ya mauaji ya mwandishi Jamal Khashoggi. Waziri wa Uingereza akanusha habari juu ya kura nyingine ya maoni kuhusu Brexit

https://p.dw.com/p/3ADah