1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 18.10.2019

Yusra Buwayhid
18 Oktoba 2019

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema nchi yake itaongeza kasi ya mashambulizi kaskazini mwa Syria, iwapo makubaliano ya kusimamisha operesheni ya kijeshi hayatatekelezwa. Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson kwa mara nyingine amewaomba wabunge wa Uingereza kuufanikisha mchakato wa Brexit. Na watu 62 wameuawa katika mripuko wa bomu ndani ya msikiti Afghanistan.

https://p.dw.com/p/3RXVR