1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 22.06.2019

Sylvia Mwehozi
22 Juni 2019

Kwa muhtasari: Iran yamwita mwanadiplomasia wa Falme za Kiarabu kuhusina na mzozo wake na Marekani. Kansela Angela Merkel amesema Ujerumani inapaswa kupambana vikali na wafuasi wa itikadi kali. Na Viongozi wa waandamanaji Sudan kukutana na mpatanishi wa Ethiopia.

https://p.dw.com/p/3KuIM