1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 03.06.2018

Zainab Aziz
3 Juni 2018

Hasira yagubika kwenye mkutano wa mawaziri wa G7 huko nchini Kanada. China yaionya Marekani kuhusu hatua yake ya kuweka vikwazo vya kibiashsara. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema ukanda wa sarafu ya Euro haupaswi kugeuzwa kuwa umoja wa kushirikiana madeni.

https://p.dw.com/p/2yrr3