1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 08.12.2018

Grace Kabogo
8 Desemba 2018

Waendesha mashtaka wa Marekani wamegundua kuwa Urusi ilishirikiana na timu ya kampeni ya Rais Donald Trump kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2015 // Mazungumzo ya amani Yemen yanaendeleo leo nchini Sweden // Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema vikwazo vya Marekani ni "ugaidi wa kiuchumi"

https://p.dw.com/p/39ipb