1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 12.10.2019

Yusra Buwayhid
12 Oktoba 2019

Uturuki yaongeza mashambulizi dhidi ya Wakurdi Syria kwa siku ya nne. Mvua kubwa zanyesha Japan kabla ya kimbunga Hagibis kinachotarajiwa kupiga nchini humo. Na, mwanariadha wa Kenya Eliud Kipchoge avunja rekodi isiyo rasmi ya kukimbia chini ya masaa mawili.

https://p.dw.com/p/3RBEo