1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 21.07.2018

Yusra Buwayhid
21 Julai 2018

Miongoni mwa taarifa za mchana: Ufaransa yatuma misaada ya matibabu Syria katika eneo la Ghouta Mashariki. Hamas na Israel wakubaliana kurejesha amani katika Ukanda wa Gaza. Na, Rais wa China Xi Jinping awasili barani Afrika kwa ziara ya mataifa mannne.

https://p.dw.com/p/31rLS