1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 28.11.2020

SK2 / S02S28 Novemba 2020

Idadi ya vifo vya corona Ulaya yapindukia 400,000.Iran yasema kuna ushahidi kwamba Israel imehusika na mauaji ya mwanasayansi wake Mohsen Fakhrizadeh. Viongozi wa jumuiya ya SADC wakutana kuijadili suala la ugaidi na usalama Msumbiji.

https://p.dw.com/p/3lxA2