1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matatizo yanayoikumba Idara ya Magereza nchini Kenya

24 Julai 2008

Nchini Kenya bunge la nchi hiyo linatarajiwa kujadili mapendekezo yaliyotolewa na kamati ya serikali kuhusu kashfa na matatizo mbalimbali yanayokumba idara ya magereza.

https://p.dw.com/p/Ej6K
Bunge la Kenya upande wa kulia.Picha: picture-alliance/ dpa

Mapendekezo hayo yalitolewa ikiwa ni miezi mitatu tangu mgomo wa maaskari magereza kufanyika.Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa maaskari hao kugoma katika historia ya nchi hiyo.

Mwai Gikonyo ana taarifa kamili kutoka Nairobi