1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matayarisho ya mchezo wa Karandinga

29 Juni 2018

Kwa muda mrefu msikilizaji umekua ukifuatilia vipindi vyetu vya noa bongo na karandinga na sasa DW Kiswahili pia tunaendelea kukuletea tamthilia moto moto zenye kuakisi maisha halisi ya jamii yako. Watazame waigizaji wa mchezo mpya wanavyojiandaa wakiwa studio huko jijini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/30Xhy