1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mauaji ya balozi wa Italia yazua gumzo nchini DRC

Sylvia Mwehozi26 Februari 2021

Sakata la janga la corona nchini Tanzania, kuuwawa kwa balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mjini Goma, kizungumkuti cha tarehe ya uchaguzi nchini Somalia na hali huko Cameroon ni miongoni mwa yaliyotawala Afrika Wiki Hii na msimulizi ni Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3pylz