Mazungumzo mapya yataleta amani Burundi?

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
20.05.2016

Mazungumzo ya siku nne ya amani ya Burundi ambayo awali yalipingwa na serikali yataanza Jumamosi mjini Arusha nchini Tanzania. Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, ni mkuu wa mazungumzo hayo.
Sudi Mnette amezungumza na msaidizi wa Rais Mkapa, Makocha Tembele, na kwanza alitaka kujua maaandalizi ya mazungumzo hayo yakoje hadi kufikia wakati huu.

Maudhui Zinazofanana

Tufuatilie