1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo ya amani Burundi yarejesha matumaini

Elizabeth Shoo24 Mei 2016

Wajumbe waliohudhuria mazungumzo ya awali ya kuleta amani yaliyofanyika Arusha wana imani kuwa wataweza kuutatua mgogoro wa Burundi ambao umekuwa ukiendelea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.

https://p.dw.com/p/1Itgq
Wajumbe wa mkutano wa kuleta amani Burundi
Picha: DW/C. Ngereza

[No title]