1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo ya kutafuta amani Syria yaendelea Geneva

24 Februari 2017

Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Syria yaendelea mjini Geneva lakini mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa asema hatarajii suluhu ya haraka. Afrika Kusini kumezuka fujo dhidi ya kuwepo wahamiaji nchini humo. Na kongamano la kimataifa la ahadi za ufadhili wa msaada kwa nchi za ziwa Chad wafanyika Oslo, Norway.

https://p.dw.com/p/2YDlM