1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbilikimo katika mkoa wa Ituri-Kaskazini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

2 Februari 2007

Mbilikimo katika mkoa wa Ituri-Kaskazini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wanalalamika kuwa mashirika yanayowatetea yamekuwa yakijipatia fedha nyingi kwa jina lao, wakati wao wenyewe mbilikimo wanapokea makombo tu. Mbilikimbo hao wanasema hayo wakati walipokutana na tume ya Umoja wa mataifa katika mji wa Mombasa Tiksty.

https://p.dw.com/p/CHKr
Maelezo zaidi anatuletea Mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka Bunia,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.