1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashambulizi ya kigaidi Paris

14 Novemba 2015

Kundi la IS limedai kuhusika na mashambulizi ya Paris yaliyowauwa watu 130 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 300. Serikali ya Ufaransa imetangaza hali ya hatari na siku tatu ya maombolezo

https://p.dw.com/p/1H5sQ
Frankreich Terroranschläge Trauer Deutschland
Picha: Reuters/H. Hanschke

[No title]