1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchezo wa kamari maarufu kama Kichuya unavyoshamiri Tanzania

Grace Kabogo
1 Mei 2018

Kichuya ni aina mpya ya mchezo wa kamari ulioziteka hisia za watu wengi nchini Tanzania. Hata hivyo, imeelezwa kuwa mchezo huo unakiuka na kuzivunja sheria na kuwaathiri watoto.

https://p.dw.com/p/2wy5J