1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel achaguliwa kuwa Kansela

Grace Kabogo
14 Machi 2018

Bunge la Ujerumani limemchagua Angela Merkel kuwa Kansela wa Ujerumani kwa muhula wa nne. Merkel amepata kura 364, huku wabunge 315 wakimpinga.

https://p.dw.com/p/2uIfa