1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel na Macron wanakutana Berlin

Sudi Mnette
19 Juni 2018

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anakutana na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, katika mkutano wa pamoja wa mabaraza ya mawaziri wa nchi hizo mbili, kujadili suala la mageuzi katika Umoja wa Ulaya na kadhia ya ukimbizi.

https://p.dw.com/p/2zqKg