Wiki hii kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara tunaiangazi miaka 25 baada ya mauaji ya halaiki nchini Rwanda, ambayo yaliangamiza maisha ya zaidi ya watu 800,000 wengi wao wa jamii ya Kitutsi. Mohammed Khelef anasimamia mjadala unaohudhuriwa pia na Profesa Pacifique Malonga kutoka Kigali, Halid Hassan kutoka Bujumbura, McDoel Kalisa akiwa nchini Sweden na Bollen Ngeti kutoka Tanzania.