1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfumo wa elimu wa Ujerumani

16 Oktoba 2012

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) linasema mfumo wa elimu wa Ujerumani una nafasi zaidi ya kumtayarisha mwanafunzi kuwa mbunifu kuliko mifumo ya mataifa mengine.

https://p.dw.com/p/16Qvw
Mfumo wa elimu kwenye skuli za msingi za Ujerumani.
Mfumo wa elimu kwenye skuli za msingi za Ujerumani.Picha: picture-alliance/dpa

Elisabeth Shoo anauangazia mfumo wa elimu wa Ujerumani unaosifiwa kuwa miongoni mwa mifumo bora duniani. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Elisabeth Shoo/DW Kiswahili
Mhariri: Josephat Charo