1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa usafiri wa Matatu nchini Kenya

5 Januari 2010

Chama cha wamiliki wa magari ya abiria aina ya matatu nchini Kenya kimefutilia mbali mgomo wa siku tatu ulioitishwa na chama hicho hapo jana.

https://p.dw.com/p/LLZ0

Mgomo huo ulioingia siku yake ya pili hivi leo umesababisha hasara kubwa, kiuchumi, kutokana na kutofika kazini kwa siku mbili mfululizo maelfu ya wafanyakazi waliokuwa wakirejea kazini baada ya sherehe za krisimasi na mwaka mpya.

Mwandishi wetu wa Nairobi Alfred Kiti ametuandalia taarifa ifuatayo.

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri. Miraji Othman