1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 30 tangu RPF waivamie Uganda

Lilian Mtono
1 Oktoba 2020

Imetimia miaka 30 tangu waliokuwa waasi wa RPF kuvamia Rwanda wakitokea Uganda. Waasi hao walishinda vita mikaa minne baadae na kuunda serikali iliyoko madarakani hadi leo. Lilian Mtono amezungumza na mchambuzi na wa masuala ya siasa na mwandishi wa habari aliyeko Kigali, Khalidi Halidi na kwanza alianza kuuzungumzia urithi ulioachwa baada ya tukio hilo.

https://p.dw.com/p/3jGhw