1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 32 ya uongozi wa Museveni

26 Januari 2018

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewataka Waafrika kuachana na ukabila katika sherehe za kuadhimisha miaka 32 tangu vuguvugu la NRM pamoja na waliokuwa waasi wa NRA walipopindua utawala wa Tito Okello Lutwa mwaka 1986.

https://p.dw.com/p/2raLY
Rais wa Uganda, Yoweri Museven
Picha: picture-alliance/dpa/I. Langsdon

J3 26.01 Uganda: Museveni on Africa economic patriotism - MP3-Stereo