1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka minne ya chama cha CNDD-FDD madarakani nchini Burundi

26 Agosti 2009

Ni miaka minne leo tangu Chama cha CNDD-FDD kukamata madaraka kikamilifu huko Burundi.

https://p.dw.com/p/JIcw
Kuidurusu miaka minne hiyo, Othman Miraji alimpigia simu punde hivi Karenga Ramadhan, mmoja wa waasisi wa chama hicho na aliyewahi kukamata wadhifa wa uwaziri katika serikali ya chama hicho. Alianza kusema mafanikio na kasoro za serikali ya sasa ya huko Bujumbura: