1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miezi mitatu ya mgomo wa wauguzi Kenya

22 Agosti 2017

Mgomo wa wauguzi katika hospitali zote za umma nchini Kenya ulioanza mwezi Juni bado unaendelea. Wakenya wanakumbana na shida kwa kukosa huduma za afya kutokana na mgomo huo usioelekea kuisha.

https://p.dw.com/p/2idHD
Screenshot DW-Video Äthiopische Frauen
Picha: DW

M M T/ J2.22.08.2017-Kenya continuing nurses strike - MP3-Stereo