1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Milango ya Zanzibar: Utambulisho wa utamaduni wa Bahari ya Hindi

12 Juni 2011

Kwa karne nyingi visiwa vya Zanzibar vimekuwa vikijuilikana kwa mambo mengi ya kuvutia, kama vile viungo na fukwe safi, lakini alama nyengine kuu ambayo inavitambulisha visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi ni milango yake

https://p.dw.com/p/RT2t
Mlango wa Zanzibar
Mlango wa ZanzibarPicha: Stefan Pommerenke

Katika makala hii, Sudi Mnette anazungumzia ufundi na utaalamu wa utengenezaji wa milango ya Zanzibar, ambayo imepitia katika awamu mbali mbali za kihistoria katika eneo hili upwa wa Afrika ya Mashariki.

Mtayarishaji/Msimulizi: Sudi Mnette
Mhariri: Othman Miraji