1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miripuko ya Mabomu Dar es Salaam,Tanzania

24 Septemba 2009

Kumetokea miripuko mingine katika kambi la Jeshi la Mbagala,jijini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/JoG2
Jiji la Dar es Salaam ambapo kumetokea miripuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la MbagalaPicha: DW /Maya Dreyer

Mabomu kadhaa yameripuka tena leo katika eneo la mbagala jijini Dar es Salaam lililokaribu na kambi ya Jeshi na kusababisha vifo vya watoto watatu. Huo ni mripuko wa pili kutokea mahala hapo mwaka huu.

Kutoka Dar es Salaam Mwandishi wetu George Njogopa anaripoti.