1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mitindo mipya ya nywele kwa vijana Dar

Bruce Amani
26 Juni 2018

Jijini Dar es Salaam, kumeibuka hamasa kubwa ya usukaji, usokotaji na unyoaji wa mitindo mipya ya nywele kwa vijana wa kiume jambo linalo pelekea ajira miongoni mwao.

https://p.dw.com/p/30JRb