1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjue Hendrick Witbooi

Lilian Mtono
7 Machi 2018

Hendrick Witbooi, kutoka kabila ya Wanama ni miongoni mwa mashujaa wanaotajwa kwenye historia ya Afrika kutokana na harakati zake dhidi ya ukoloni. Aliongoza kabila yake ya Wanama na hata kuwaunganisha na wapinzani wao Herero kuwakabili watawala wa Kijerumani. Tizama vidio hii kujua zaidi kuhusu Witbooi.

https://p.dw.com/p/2tp2O