1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa azuru DRC

5 Novemba 2007

Haile Menkerios, mjumbe maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ba Ki Moon, amewasili jana mjini Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, kabla alipoenda Kinshasa kukutana na rais Joseph Kabila.

https://p.dw.com/p/C7fT

Madhumuni ya ziara yake katika nchini humo, na hususan eneo la Mashariki, ni kutathmini hali ya mambo na kupanga mkakati wa pamoja na viongozi wa mkoa huo kumaliza machafuko eneo hilo.

Sikiliza ripotu ya mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka Goma.