1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkasa wa wahamiaji kufariki baada ya kuzama majini

Daniel Gakuba
1 Desemba 2021

Kisa cha wahamiaji 27 kufa maji katika ajali ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoka kambi isiyo rasmi ya Calais nchini Ufaransa, wakijaribu kuingia kimagendo nchini Uingereza, kimegeuka kuwa mzozo wa kisiasa baina ya Ufaransa na Uingereza, ambazo kila moja inajaribu kujivua majukumu ya janga hilo baya la kibinadamu na kuituhumu nyingine kutowajibika. Sikiliza makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/43gp3