1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkataba wa kudhibiti silaha waidhinishwa

3 Aprili 2013

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha mkataba kwa kwanza wa kimataifa wa kudhibiti biashara ya silaha ya mabilioni ya fedha.

https://p.dw.com/p/188ct
Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Mataifa wapitisha mkataba wa kudhibiti silaha
Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Mataifa wapitisha mkataba wa kudhibiti silahaPicha: Timothy a. Clary/AFP/Getty Images

Uamuzi huo umepitishwa kwa kishindo kwa kura 154, 3 tu ndizo zilizopinga ambapo 23 kutopiga kabisa. Kutoka nchini Tanzania Sudi Mnette amezungumza na mkurugenzi wa taasisi ya amani na utatuzi wa migogoro barani Afrika Cosmas Bahali na kwanza alitaka kujua ana maoni gani kufuatia kuidhinishwa kwa mkataba huo wa kwanza katika biashara ya silaha. Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Josephat Charo