1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano kuhusu swala la soko la pamoja la Afrika Mashariki

18 Novemba 2008

Tanzania imelaumiwa na mataifa wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki kwa kuhujumu juhudi za kubuni soko la pamoja la jumuiya hiyo.

https://p.dw.com/p/FxTJ

Hayo yalijitokeza katika kikao cha 19 cha baraza la mawaziri wa jumuiya ya Afrika mashariki kilichofanyika Zanzibar hivi karibuni na kutolewa maelezo leo na waziri wa Kenya katika jumuiya hiyo kwa waandishi wa habari mjini Nairobi.

Zaidi anayo mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi.