1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Kanisa la Kiprotestanti jijini Cologne,Ujerumani

8 Juni 2007

Mkutano wa kanisa la Kiprotestanti unaendelea katika jiji la Cologne hapa nchini Ujerumani. Mkutano huo washiriki ni vijana kutoka sehemu mbali mbali.

https://p.dw.com/p/CHD1
Baadhi ya waliohudhuria mkutano wa kanisa la kiprotestanti wakipumzika.
Baadhi ya waliohudhuria mkutano wa kanisa la kiprotestanti wakipumzika.Picha: AP
Zainab Aziz amezungumza na Maja Dreyer ambaye anahudhuria mkutano huo na kwanza alimtaka aeleze mambo yanayoendelea huko.