1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa mawaziri wa Kilimo wa CEEAC mjini Kinshasa, DRC

24 Julai 2008

Tatizo la njaa na kupanda kwa bei ya chakula ulimwenguni kumeathiri pia bara la Afrika.

https://p.dw.com/p/Ej7V
Mji wa Kinshasa kunakofanyika mkutano wa CEEACPicha: Alexander Göbel

Kwa hiyo mawaziri wa kilimo wa jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya afrika ya kati(CEEAC)wamekutana mjini Kinshasa ili kukadiria kupanda kwa bei ya chakula kwenye eneo hilo.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.