1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Uchumi duniani wafanyika nchini Tanzania

5 Mei 2010

Mkutano wa uchumi duniani ambao unazingatia nafasi ya Afrika, unaanza leo mjini Dar es salaam.

https://p.dw.com/p/NEsI
Jiji la Dar Es Salaam kunakofanyika mkutano wa Uchumi dunianiPicha: DW /Maya Dreyer

Wajumbe watazingatia jinsi Afrika inavyoweza kujikwamua kimaendeleo.

Mwandishi wetu mjini Dar es salaam George Njogopa ametutumia taarifa zaidi.

Mtayarishaji:George Njogopa

Mpitiaji:Sekione Kitojo