1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mlipuko wa Bomu jijini Nairobi,kenya

12 Juni 2007

Hospitali kuu ya Kenyatta jijini Nairobi leo ilikuwa na shughuli nyingi za kuwapokea waathiriwa wa mlipuko uliotokea mapema jana asubuhi.

https://p.dw.com/p/CHCp
Polisi akiwa kwenye eneo la mlipuko hapo Nairobi.
Polisi akiwa kwenye eneo la mlipuko hapo Nairobi.Picha: AP

Baadhi ya majeruhi walitibiwa na kuruhusiwa kwenda nyumbani ili hali wale walioumia zaidi wanaendelea kutibiwa katika hospitali hiyo.

Mwandishi wetu Alfred Kiti ametuletea ripoti ifuatayo kutoka Nairobi.