1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Moto wateketeza maduka 150 Karagwe

Elizabeth Shoo12 Aprili 2016

Moto huo ulizuka usiku wa kuamkia Jumanne na kuchoma vibanda na maduka kwenye soko la mjini Kayanga, Wilayani Karagwe. Mwandishi wa habari Adelina Rwelamila aeleza hali ilivyokuwa.

https://p.dw.com/p/1ITiQ
Ramani ya Tanzania

[No title]