1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mradi wa kufundisha watoto wa wakulima na wafugaji Longido

Sylvia Mwehozi
6 Septemba 2017

Shirika la Caritas kutoka Ujerumani linafadhili mradi wa kufundishia watoto wa jamii ya wafugaji na wakulima kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro nchini Tanzania. Walimu hutumia mazao ya shambani kama zana za kufundishia. Ifuatayo ni vidio fupi iliyopigwa na mwandishi wetu Dotto Bulendu.

https://p.dw.com/p/2jQbh