1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mripuko wa bomu umeua watu 13 Irak

23 Novemba 2007
https://p.dw.com/p/CSLa

Hadi watu 13 wameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa leo hii,katikati ya soko mjini Baghdad.Maafisa wa Kiiraki wamesema,mripuko huo pia umewajeruhi watu 50 wengine.Soko hilo huwavutia watu wengi na mara nyingi limeshuhudia mashambulizi ya aina hiyo.