1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama cha CUF Tanzania aapishwa leo

12 Februari 2010

<p>Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amemteua Ismail Jussa msaidizi wa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani CUF Seif Shariff Hamad, kuwa mbunge katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

https://p.dw.com/p/LzR2
Rais Jakaya Kikwete amteua Bw.Jussa Ismail kuwa MbungePicha: AP Photo
Uteuzi huo unaangaliwa na wachambuzi kama ni wa kuyapa nguvu maafikiano yaliofikiwa kati ya Rais  Amani Karume na  Bw. Hamad, kumaliza  miaka kadhaa ya mivutano ya kisiasa huko Zanzibar. Josephat Charo alizungumza na  Bw. Jussa ambaye ataapishwa rasmi hii leo na kumuuliza  jinsi alivyoupokea uteuzi huo.

Mahojiano/ Josephat Charo/Ismail Jussa

Mpitiaji :M.Abdul-Rahman