1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mshauri wa maandamano ya wanafunzi Chad

Yusra Buwayhid
11 Julai 2017

Wanaharakati vijana kutoka nchini Chad wanafanya kazi pamoja kutafuta njia za amani za kuandamana na kupinga ukosefu wa haki nchini humo. Wanawaunga mkono wanafunzi na kuwafunza namna ya kuandamana kwa amani.

https://p.dw.com/p/2gMHL