1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mshauri wa Nkurunziza avamiwa

Yusra Buwayhid
29 Novemba 2016

Willy Nyamitwe, mshauri mkuu wa rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, amelazwa hospitalini baada ya kuponea chupu chupu jaribio la kuuwawa aliposhambuliwa na watu wenye silaha wakati akielekea nyumbani.

https://p.dw.com/p/2TQzC
Mshauri wa Rais Pierre Nkurunziza, Willy Nyamitwe
Picha: DW/J. Johannsen

mmt J2 29.11.2016 Burundi Willy Nyamitwe - MP3-Stereo