1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msimu mpya wa ligi ya Bundesliga Septemba 18

Josephat Charo
7 Agosti 2020

Bodi ya ligi kuu ya soka ya Ujerumani, Bundesliga, DFL, imetangaza ratiba ya ligi hiyo kwa msimu wa mwaka 2020/2021.

https://p.dw.com/p/3gddh