1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtandao wa kuokoa vyakula vinavyotupwa huko Berlin

Harrison, Mwilima/MMT6 Desemba 2019

Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii inaangazia harakati hizo za kuokoa vyakula zinazofanyika hapa nchini Ujerumani kama njia ya kupiga vita utupwaji mwingi wa vyakula unaofanyika katika nchi nyingi za magharibi mfano hapa Ujerumani. Aliyekuandalia makala hii kutoka mjini Berlin, ni Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/3UKNh