1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtetezi wa Haki za Binaadamu Bwana Firmin Yagambi afikishwa mahakani nchini DRC

1 Oktoba 2009

<p>Mtetezi wa haki za binadamu huko DRC Bwana Firmin Yangambi anatarajiwa kufikishwa mbele ya mahakama ya kijeshi baada ya kukamatwa mjini Kisangani kwa tuhuma za kutaka kuanzisha uasi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/Jvni
Hatua hiyo imelaumiwa vikali na mashirika ya kutetea haki za binaadamu wakisema ni sehemu ya vitisho vya serikali.

Ripoti kamili na mwandishi wetu mjini Kinshasa Saleh Mwanamilongo.

Mwandishi: Salehe Mwana Milongo.

Mpitiaji Abdul-Rahman