1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtuhumiwa wa mauaji ya halaiki 1994 kukabidhiwa Rwanda

20 Aprili 2012

Nchini Rwanda mtuhumiwa wa kwanza wa mauaji ya halaiki ya mwaka 1994 kukabidhiwa kwa Rwanda na mahakama ya Kimataifa ya uhalifu ya Arusha,Jean Uwinkindi amewasili kigali.

https://p.dw.com/p/14iCa
Makaburi ya waliouawa katika mauaji ya halaiki 1994
Makaburi ya waliouawa katika mauaji ya halaiki 1994Picha: AP

Hatua ya ICTR imeifurahisha serikali ya Kigali ikisema inaonyesha ni kwa jinsi gani Jumuiya ya Kimataifa sasa inaimani na mfumo wa sheria nchini humo.Mtuhumiwa huyo sasa atashtakiwa chini ya sheria za Rwanda.Mwandishi wetu Sylvanus Karemera ameifuatilia ripoti hiyo na kututumia maelezo yafuatayo.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:S.Karemera

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi